Remaining Time: 1:59:59
Remaining Time:
Timeout Warning
Your shopping cart will expire in
Redirecting to the homepage...
Extending your session...
An error has occurred,
redirecting to the homepage...

Kuongeza UP: Zana ya Kusidika Mazao Maalum

Lisa Bates, Courtney Long, Shannon Coleman, Victor Oyervides
Haya ni maelezo ya kijumla ya kukufunza vifaa vitakavyo kuwezesha kuongeza mazao Ya mimea maalumu ya biashara ya vyakula. Ina haja ya kutengeneza mimea maalumu kwa kuongeza thamani. Ni juu ya sababu zifuatazo: Maendeleo ya bidhaa, kuongeza ukubwa na kadhalika. Lengo la mradi huu inahusu wafanya biashara kushirikiana katika bishara ya mitaa. Biashara ya kusambaza bidhaa kufuatana na haja kubwa walizonazo. Kuhusiana na mradi huu ilihitajika: Utafiti na kutembelea sehemu kumi na tano (15) za biashara na vyama; kusaidia biashara nne (4) kiteknologia na vyama kadhaa kwa jimbo la Iowa; Kutengeneza chombo hiki, kueneza vitendo vinavyosaidia wanabiashara na mawakala wa kueneza kufaulu kuendeleza mazao maalumu ya thamani. Chombo hiki kina sehemu nne kufutana na sehemu za hamu na utafiti. Sehemu tatu za mbele zinahusu haja maalum za biashara: usalama wa vyakula, kuendelesha biashara, vifaa, na ya mwisho inahusu jinsi ya kuwezesha maendeleo ya jumuia ukitumia mipango ilio mkakati.

For the English version of this publication, please see the Related Products section.

Pages / Length: 62
Publication Date: 07/2021
Format
Price
PDF
$0.00
Permanent link for this product: https://store.extension.iastate.edu/product/16227